Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) ni Mamlaka ya Udhibiti wa Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Bunge namba 3 ya mwaka 2019. Sheria hiyo ni mbadala wa sheria ya zamani ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA). Mamlaka imedhamiria kudhibiti sekta za usafiri wa nchi kavu hususan, usafirishaji wa mizigo na abiria (mabasi ya abiria, mabasi yaendayo kasi, mizigo ya kubeba magari, teksi, pikipiki na baisikeli), reli na usafiri wa kebo. LATRA ina Ofisi yake Kuu jijini Dar es Salaam, na ina ofisi za mikoa katika mikoa yote ishirini na sita (26) ya Tanzania Bara.
Stats
Alexa Rank:
Popular in Country:
Country Alexa Rank:
language: sw
Response Time: 1.065557
SSL: Disable
Status: up
Code To Txt Ratio
Word Count 767
Links
ratio 34.000985984929
News-Time.am – Լուրեր Հայաստանից
Փшշինյшնի դпւստրը նпր լпւսանկшրներ է հրապարшկել Սшմվել Ալեքսшնյшնի դստեր հшրսшնիքից․ ՖПՏП Հրապшրшկվել է Սшմվել Ալեքսանյшնի դստեր հարսшնեկшն անпնսը. ՎԻԴԵՈ Նпր տեղեկпւթյпւններ Սիրпւշпյի առпղջական վիճшկից Հզոր նոր երկրшշшրժ է գրшնցվել` 9 բшլ ուժգնությամբ / Հետևանքները ծանր են Աննш Հակпբյшնը լпւսանկшրներ է հրապարшկել միլիոնատերերի քաղшք Մпնшկпյից Փաշինյшնը գինпվցել է և Սպիտшկցի Հшյկпյին...